Vijana Tuzungumze on Clubhouse

Vijana Tuzungumze Clubhouse
348 Members
Updated: Mar 22, 2024

Description

Vijana Tuzungumze ni jukwaa huru la vijana kuweza kujadiri na kujifunza maswala mbalimbali yanayowahusu vijana kama vile;

1. Uongozi
2. Afya
3. Fursa za ajira na kujiajiri
4. Michezo, vipaji na ubunifu
5. Kufahamiana (Network)
6. Mahusiano na mapenzi
Kujadili mambo yenye tija kwa vijana wa Tanzania na Afrika.: Lengo ni kubadilishana mawazo na fikra yakinifu zenye kuweza kuwasaidia vijana kujikwamua katika changamoto zao zinazo wakumba.
Hatufungamani na chama, dini, kabila wala ukanda.: Jukwaa hili litajikita kutoa fursa sawa kwa vijana katika kujadili na kutoa mawazo bila kupendelea upande wowote katika maswala ya dini, itikadi za kisiasa wala ukabila.
Tunaamini katika usawa: Kila mmoja ana haki ya kuchangia mawazo na mitazamo yake katika hali ya kuheshimu mawazo na nafasi za watu wengine.

Rules

Kujadili mambo yenye tija kwa vijana wa Tanzania na Afrika.

Lengo ni kubadilishana mawazo na fikra yakinifu zenye kuweza kuwasaidia vijana kujikwamua katika changamoto zao zinazo wakumba.

Hatufungamani na chama, dini, kabila wala ukanda.

Jukwaa hili litajikita kutoa fursa sawa kwa vijana katika kujadili na kutoa mawazo bila kupendelea upande wowote katika maswala ya dini, itikadi za kisiasa wala ukabila.

Tunaamini katika usawa

Kila mmoja ana haki ya kuchangia mawazo na mitazamo yake katika hali ya kuheshimu mawazo na nafasi za watu wengine.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 22, 2024 348 +3 +0.9%
February 01, 2024 345 +3 +0.9%
December 18, 2023 342 +3 +0.9%
November 07, 2023 339 0 0.0%
October 08, 2023 339 +2 +0.6%
September 08, 2023 337 +2 +0.6%
August 10, 2023 335 +3 +1.0%
July 09, 2023 332 +6 +1.9%
June 16, 2023 326 +8 +2.6%
March 16, 2023 318 +8 +2.6%
February 03, 2023 310 +1 +0.4%
January 27, 2023 309 +1 +0.4%
January 23, 2023 308 +1 +0.4%
January 19, 2023 307 +1 +0.4%
January 15, 2023 306 +3 +1.0%
January 08, 2023 303 +1 +0.4%
December 27, 2022 302 +2 +0.7%
December 01, 2022 300 +3 +1.1%
November 18, 2022 297 +1 +0.4%
November 11, 2022 296 +2 +0.7%
November 05, 2022 294 +1 +0.4%
October 29, 2022 293 +1 +0.4%
October 23, 2022 292 +4 +1.4%
October 16, 2022 288 +5 +1.8%
October 04, 2022 283 +1 +0.4%
September 30, 2022 282 +1 +0.4%
September 25, 2022 281 +2 +0.8%
September 18, 2022 279 +3 +1.1%
September 12, 2022 276 +3 +1.1%
September 02, 2022 273 +1 +0.4%

Charts

Some Club Members

More Clubs