UTAMU KOLEA on Clubhouse

UTAMU KOLEA Clubhouse
87 Members
Updated: May 6, 2024

Description

UTAMU KOLEA ni club rafiki iliopo kwalengo la kujumuika na Kila mwanajamii katika kubadilishana mawazo,uzowefu wa ufahamu wa mambo,kushauriana na kusaidiana kwahali na Mali baina ya washirki wa club hii.

Vile vile UTAMU KOLEA ni sehemu ambayo watu wanaweza kutambuana kwa utashi wao kwa kujitambulisha Mila na desturi zao,mahala Pao pa asili,kabila kao na utaratibu wao wa kuishi.

Ndani ya UTAMU KOLEA club watu wanapiga hadithi zote halisi na hata zile za kutunga ilimuradi ziweze kufundisha kitu Chanya katika jamii.Pia kuburudika kwa Ngoma na nyimbo za aina zote kunakaribishwa,mshiriki yeyote aweza kuhadithia hadithi yake kwa kutumia mifano na nyenzo mbalimbali.Izingatiwe kuwa ubunifu mzuri na mbwembwe zinazo furahisha ndio kipaji chenyewe,hivyo kadhalika tunakaribisha vipaji pia kuvifahamu katika club hii.#slogan UTAMU KOLEA liwaza uliwazwe.

Some Club Members

More Clubs