Karibu katika Club House ya BAMC1, katika kundi hili tunajadili mambo mbali mbali yahusuyo Vijana na Tasnia nzima ya Habari
Maswali, Assignment, Group Works, Pamoja na vikao vya BAMC1.
Hii ni kuleta na kuweka Darasa letu kuwa la kisasa na kwendana na Taaluma yetu kwani sio lazima kwa Karne ya sasa watu Kuonana uso kwa uso ili kuepuka Usumbufu.
Mambo mengi tutafanya kupitia simu yako Tu.
Naombeni Mniunge mkono kwa jambo hili lenye manufaa makubwa kwa BAMC1.