Epuka kutukana, kushambulia au kukwaza wengine: Washiriki wanapaswa kutumia lugha ya kiungwana na kistaarabu ili kuhakikisha kuwa heshima na uvumilivu vinatawala katika mijadala. Lugha za chuki na zenye mrengo wa kuwashambulia watu hazitovumiliwa.
Fupisha habari yako: Usipoteze muda wa washiriki wengine kwa kutoa taarifa ndefu inayojirudia rudia. Iweke hoja yako kwa uwazi, kwa ufupi na inayoeleweka.
Epuka kutumia utani unaokera (usiofaa): uwapo jukwaani hapa, unakuwa katika mazingira ambayo hauonani ana kwa ana na washiriki wengine. Kwa hiyo, unapofanya utani ni rahisi kwa mshiriki mwingine kuuchukulia kwa mtazamo tofauti.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 23, 2024 | 1,173 | +8 | +0.7% |
March 19, 2024 | 1,165 | +4 | +0.4% |
January 29, 2024 | 1,161 | +5 | +0.5% |
December 15, 2023 | 1,156 | +4 | +0.4% |
November 05, 2023 | 1,152 | +3 | +0.3% |
October 05, 2023 | 1,149 | +22 | +2.0% |
September 06, 2023 | 1,127 | +2 | +0.2% |
August 08, 2023 | 1,125 | -1 | -0.1% |
July 07, 2023 | 1,126 | +18 | +1.7% |
June 15, 2023 | 1,108 | +47 | +4.5% |