SMARTPHONEOGRAPHY on Clubhouse

SMARTPHONEOGRAPHY Clubhouse
30 Members
Updated: Apr 20, 2024

Description

DHUMUNI

Kuamsha chachu ya kutumia Teknolojia haswa ya SIMU za mkononi katika kuimarisha na kuboresha uchumi wa Biashara ndogo-ndogo kwa kujali haswa :

• Branding / Chapa ✓
• Marketing / Advertising
• Sales / Mauzo

•••

I AM A SMARTPHONEOGRAPHER, SO ASK ME ANY QUESTION CONCERNING THAT!.

🥂 • Karibu sana
Heshima: Ukiheshimu, utaheshimiwa!, Tujitahidi sana kuheshimu MUDA wa kila msemaji aliye kwenye JUKWAA na wale wasikilizaji pia.
UDADISI!: Dhumuni ni kujifunza kwa pamoja juu ya UBUNIFU wa GRAPHIC kwa kutumia SIMU za mkononi = SMARTPHONEOGRAPHY hivyo tunapendekeza watu kuwa WADADISI kwa kuuliza maswali yakinifu kulingana na TOPIC husika.
LUGHA: Inashauriwa itumike Lugha ambayo ni RAFIKI kwa wasemaji & wasikilizaji wa Chumba chochote ambacho kitaanzishwa na Club hii.

Rules

Heshima

Ukiheshimu, utaheshimiwa!, Tujitahidi sana kuheshimu MUDA wa kila msemaji aliye kwenye JUKWAA na wale wasikilizaji pia.

UDADISI!

Dhumuni ni kujifunza kwa pamoja juu ya UBUNIFU wa GRAPHIC kwa kutumia SIMU za mkononi = SMARTPHONEOGRAPHY hivyo tunapendekeza watu kuwa WADADISI kwa kuuliza maswali yakinifu kulingana na TOPIC husika.

LUGHA

Inashauriwa itumike Lugha ambayo ni RAFIKI kwa wasemaji & wasikilizaji wa Chumba chochote ambacho kitaanzishwa na Club hii.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
April 20, 2024 30 0 0.0%
February 10, 2024 30 0 0.0%
December 27, 2023 30 0 0.0%
November 13, 2023 30 0 0.0%
October 14, 2023 30 0 0.0%
September 14, 2023 30 0 0.0%
August 16, 2023 30 0 0.0%
July 14, 2023 30 0 0.0%
June 20, 2023 30 -1 -3.3%
March 19, 2023 31 0 0.0%
March 03, 2023 31 -3 -8.9%

Charts

Some Club Members

More Clubs