Pay Less on Clubhouse

Updated: Nov 21, 2023
Pay Less Clubhouse
55 Followers
112 Following
@payleess Username

Bio

Pay less.

1. Ni Mfanyabiashara mzoefu mwenye kukujali wewe Mteja wake nchini Tanzania..

2. Anaweza kukusaidia
- Kuanzisha
- Kukuza
- Kusimamia
Miradi mbalimbali ya Biashara yako.

3. Ana mbinu Rahisi na ajabu zinazoweza kukusaidia kwenye
- Branding
- Marketing
- Sales

4. Ni Mwalimu wa masomo ya Biashara kwa ajili ya kuongeza Mauzo na Faida kwenye Biashara yako...

5. Ana mbinu Matata na Hatari ambazo zinaweza kukusaidia kwenye kufanya mahesabu kwenye Biashara yako...

6. Wengi hudharau Whatsapp lakini kupitia Pay Less unaweza kujifunza namna Bora na rahisi ya kufanya marketing kupitia Whatsapp yako...

7. Anaweza kukushauri vizuri kwenye Biashara yako hasa hasa upande wa huduma kwa wateja...

8. Anakusaidia kuokoa muda wako kwenye ufanyaji wa Mahesabu kwenye Biashara yako.

Anakutengenezea mfumo mzuri sana wa mahesabu ili kuongeza ufanisi kwenye Biashara yako.

9. Atakupatia mbinu nyingi na Nyepesi za kuandika Matangazo yenye mvuto kwa walengwa wako.

10. Ni mmiliki wa biashara ya Water Point Mkoani Morogoro Tanzania........

Last 10 Records

if the data has not been changed, no new rows will appear.

Day Followers Gain % Gain
November 21, 2023 55 +21 +61.8%
October 03, 2022 34 +2 +6.3%
August 12, 2022 32 +1 +3.3%
July 06, 2022 31 +1 +3.4%
May 30, 2022 30 +1 +3.5%
April 22, 2022 29 +5 +20.9%
March 14, 2022 24 +4 +20.0%
January 16, 2022 20 +2 +11.2%
December 09, 2021 18 +2 +12.5%

Charts

Member of

More Clubhouse users