#1: UTU ni club ambayo inahamasisha binadam wote kupendana pasipo kuangalia madhaifu ya mtu na mtu
#2: Hivyo ukiingia kwenye Club hii tafadhari zingatia kuwa na UTU na kuheshimu kila mmoja ili nawe uone jinsi gani una nafasi kama wengine
#3: Kuwa huru kuuliza chochote kwenye Club yetu PENDWA, Jiskie upo nyumbani sababu hii Club ni yetu sote.... Ukionyesha dalili za kumvunjia heshima yeyote hatua kali za kisheria zitachukuliwa, Shukrani
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 09, 2024 | 97 | 0 | 0.0% |
March 12, 2024 | 97 | 0 | 0.0% |
January 22, 2024 | 97 | 0 | 0.0% |
December 08, 2023 | 97 | 0 | 0.0% |
October 31, 2023 | 97 | 0 | 0.0% |
October 01, 2023 | 97 | 0 | 0.0% |
September 01, 2023 | 97 | 0 | 0.0% |