Umepewa jukwaa usimulie yale mazuri na mabaya ama changamoto uliyopitia ukiwa mdogo. Inawezekana huyu mtu akawa mlezi, mwalimu, jirani ila aliyokufanyia ndio yalikua msingi wa yale uyawezao ama unayoyafanya leo hii.
Karibuni ukumbini, nani huyo alikua kinara ama mwalimu wa yale ujuayo leo?
Subscribe channel ya simamiatv, bofya
Www.youtube.com/c/simamiatv