Mapenzi on Clubhouse

Mapenzi Clubhouse
460 Members
Updated: Apr 17, 2024

Description

Club inahusu Mapenzi na Pia Club Hii inaongea Lugha Ya Kiswahili Tu. ♥️

Humu Ndani Kuna Wanawake na Wanaume Pia. 👫

Wote TunaKaa Na Kujadiliana na Kufunzana na Kurekebishana Kwa Upendo. ✅

Ukitaka Kuwa Kiongozi wa Club Ya Mapenzi Niambie Nikuweke Kiongozi. 🔔
Ukitaka Kuwa Admin Niambie Nikuweke Bure Kabisa.: Kama Unajambo La Kuongea Au ni Mshauri Mzuri wa Mahusiano Au Unapenda Kujadiliana Na wengine Kuhusu Mahusiano Basi Niambie na Mimi Nitakupa Uongozi wa Club Bure.
Lugha Kali zinaruhusiwa ila Lugha za Matusi Haziruhusiwi.: Ukiongea Jaribu kutumia Lugha zilizojificha Kwasababu Humu Ndani Asilimia Kubwa Ya watu Wamekuzidi Umri na Wapo Kwa Ajili Ya Kutoa Ushauri.
Ukiwa Ndani Ya Club Kuwa na Amani na Ongea Chochote.: Club ni Yetu Wote Hakuna Alie Juu Ya club Hivyo Basi Usiogope Kuchangia Mada Yoyote ile na Ukiwa na Jambo Lolote Usisite Kuniambia.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
April 17, 2024 460 +3 +0.7%
February 09, 2024 457 +4 +0.9%
December 26, 2023 453 +3 +0.7%
November 12, 2023 450 +1 +0.3%
October 13, 2023 449 +2 +0.5%
September 13, 2023 447 +2 +0.5%
August 15, 2023 445 +7 +1.6%
July 13, 2023 438 +11 +2.6%
June 19, 2023 427 +19 +4.7%
March 18, 2023 408 +2 +0.5%
March 03, 2023 406 +15 +3.9%
February 04, 2023 391 +1 +0.3%
January 31, 2023 390 +2 +0.6%
January 24, 2023 388 +2 +0.6%
January 20, 2023 386 +2 +0.6%
January 12, 2023 384 +2 +0.6%
January 08, 2023 382 +2 +0.6%
January 01, 2023 380 +2 +0.6%
December 28, 2022 378 +1 +0.3%
December 24, 2022 377 +1 +0.3%
December 20, 2022 376 +5 +1.4%
November 25, 2022 371 +10 +2.8%
November 19, 2022 361 +5 +1.5%
November 12, 2022 356 +3 +0.9%
November 06, 2022 353 +8 +2.4%
October 31, 2022 345 +2 +0.6%
October 24, 2022 343 +4 +1.2%
October 17, 2022 339 +4 +1.2%
October 11, 2022 335 +6 +1.9%
October 04, 2022 329 +2 +0.7%

Charts

Some Club Members

More Clubs