Kipindi kinachohusiana na masuala ya Usalama Barabarani. Tunahitaji maoni na mawazo ya wadau mbalimbali ili tuweze kuboresha kipindi hiki tunaamini kama watu wakipata Elimu ajali zitapungua na Wataishi