FURSA ZA KILIMO&MADINI TZ on Clubhouse

FURSA ZA KILIMO&MADINI TZ Clubhouse
801 Members
Updated: Mar 12, 2024

Description

Room hii ni mahususi kujadili fursa za kilimo,ufugaji,madini na biashara mbalimbali ambazo kwa mtu yeyote wa chini na juu anaweza kuifanya.
Tanzania imebarikiwa ardhi nzuri yenye rutuba nyingi,maji mengi,madini mengi na biashara nyingi ila pamoja na utajiri huu wananchi wake wengi wanalia hakuna ajira na ugumu wa maisha.
Room hii itakuja na solution mbalimbali kwa vijana na watu wote kuweza kujiajiari lkn kupata mianya mbalimbali ya masoko,ushauri,ushirikiano na elimu za kumsaidia aanze vipi.
SHERIA:
#Kila mmoja anahaki ya kuchangia anachokijua au kuuliza chochote kinachomtaza.
#Mchangiaji anapaswa kuchangia kutokana na mada inayojadiliwa.
#Matusi hayapaswi kuwepo wala kukosoana ktk room hii.
#changia taarifa za ukweli na usidanganye wala kutapeli ktk biashara yako kwani utachukuliwa sheria kali.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 12, 2024 801 +4 +0.6%
January 22, 2024 797 +1 +0.2%
December 08, 2023 796 +2 +0.3%
October 31, 2023 794 0 0.0%
October 01, 2023 794 +6 +0.8%
September 01, 2023 788 +1 +0.2%
August 04, 2023 787 +4 +0.6%

Charts

Some Club Members

More Clubs