CREATIVE DESIGNERS TZ on Clubhouse

32 Members
Updated: Mar 9, 2024

Description

Dhumuni ya club hii tunajifunza na kujadili maswala yote kuhusu creative.. Tusaidiane kukua na kufika mbali kwenye tasnia hii ya designing.

Tupo na wataalamu wenye uzoefu katika hii industry kwa muda mrefu sana..

Lengo kuu ni kushea ideas, kujifunza, kusifiana na kukosoana pale inapobidi..
So unapokuwa na idea mpya usisite kushea na wadau au kama una kazi umeidesign unahtaji comments kabla ya kuikabidhi kwa mteja jisikie huru kupost watu waione na wakupe ushauri kwaajili ya maboresho zaidi.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 09, 2024 32 0 0.0%
January 19, 2024 32 0 0.0%
December 05, 2023 32 0 0.0%
October 29, 2023 32 0 0.0%
September 29, 2023 32 0 0.0%
August 31, 2023 32 0 0.0%
July 28, 2023 32 0 0.0%
July 02, 2023 32 0 0.0%
April 06, 2023 32 0 0.0%
March 12, 2023 32 0 0.0%
May 25, 2022 32 +4 +14.3%

Charts

Some Club Members

More Clubs