Afya na ajira on Clubhouse

Afya na ajira Clubhouse
14 Members
Updated: May 15, 2024

Description

Ulimwengu wa Leo umekuwa ukisumbuliwa na changamoto za afya hapa naongelea afya kimwili na afya ya kipato

Kimwili ni katika changamoto zinamkabili mwanadamu yaani kisukari, pressure,vodonda tumbo,bawasiri,tezi Dume,mifupa,meno,uzazi na mengine mengi

Pia katika afya ya kipato naongelea
Pesa Kwa ujumla pesa imekuwa ngumu sio kama haipatikani ila inapatikana Kwa wale tu wenye maarifa ya kuitafuta na kuipata

Je lipi suluhisho la haya yote?

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
May 15, 2024 14 +1 +7.7%
February 23, 2024 13 0 0.0%
January 09, 2024 13 0 0.0%
November 26, 2023 13 0 0.0%
October 23, 2023 13 0 0.0%
September 23, 2023 13 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs