Ijue Afya ya Akili on Clubhouse

Ijue Afya ya Akili Clubhouse
685 Members
Updated: Mar 17, 2024

Description

Ijue Afya ya Akili ni Jukwaa la Kukutanisha wadau wote wa afya ya akili katika kutoa elimu, mijadala, ushauri na mapendekezo yatakayoisaidia jamii kuwa na mtizamo chanya

[Kila mwisho wa wiki ( Jumamosi au Jumapili ) tutakuwa na mada ya kujadili kuhusiana na afya ya akili ]

Matatizo mengi yanayojitokeza katika jamii ni kutokana na athiriko katika afya ya akili. Uwepo wa hii programu utasaidia katika utoaji elimu wa afya ya akili, ufahamu kuhusu magonjwa ya akili na matibabu na ushauri

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 17, 2024 685 +1 +0.2%
January 27, 2024 684 -1 -0.2%
December 13, 2023 685 0 0.0%
November 04, 2023 685 0 0.0%
October 04, 2023 685 +2 +0.3%
September 05, 2023 683 +1 +0.2%
August 07, 2023 682 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs