NISSI BAND TZ on Clubhouse

NISSI BAND TZ Clubhouse
21 Members
Updated: Jun 11, 2024

Description

NISSIband🇹🇿 ni kikundi cha sanaa na Muziki chenye usajili nambari BST/1039, kinachoishi ili kusababisha matokeo chanya kwenye maisha ya watu, kwa kupitia muziki na sanaa nyingine za kiAfrika.

🗿SHUGHULI ZETU:🎼
🪘Utafiti, uthaminishaji na uhifadhi wa sanaa za muziki wa kitanzania.

🪘Kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kubuni na kuendesha kampeni za kimaendeleo kwa kutumia muziki na sanaa nyinginezo.

🪘Kuelimisha na kuhabarisha jamii kuhusu masuala mbalimbali yanayolenga kutoa hamasa chanya kwa njia ya muziki na sanaa nyinginezo.

🪘Kufanya matamasha yenye lengo la kutambulisha utajiri wa sanaa zetu na kuhamasisha kizazi kijacho kuuenzi na kubuni zaidi namna ya kufaidika nao.

🪘Kuitangaza Tanzania, Kiswahili, vivutio mbalimbali na tamaduni zetu kwa kutumia muziki na sanaa nyinginezo.

🪘Kuandaa mazingira yatakayosababisha kuzaliwa kwa fursa za ajira zitokanazo na muziki na sanaa nyinginezo kwa vijana wa kitanzania.

Karibu katika kurasa zetu👇
YouTube:
http://www.youtube.com/channel/UCoFWy
Twitter: https://twitter.com/Nissiband_tz?s=01
Instagram: https://instagram.com/nissibandtz?igs
Facebook: http://www.facebook.com/nissibandtz/
Email: [email protected]
WAGALATIA 5:22-23: 1️⃣Upendo 2️⃣Furaha 3️⃣Amani 4️⃣Uvumilivu 5️⃣Utu wema 6️⃣Fadhili 7️⃣Uaminifu 8️⃣Upole 9️⃣Kiasi
WAFILIPI 2:3: "Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake."
WAGALATIA 6:1: "Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe."

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
June 11, 2024 21 +1 +5.0%
March 13, 2024 20 0 0.0%
January 23, 2024 20 0 0.0%
December 09, 2023 20 0 0.0%
November 01, 2023 20 0 0.0%
October 02, 2023 20 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs