Wakilisha on Clubhouse

Wakilisha Clubhouse
18 Members
Updated: Jun 21, 2024

Description

📍Jukwaa la kijanja linalokutanisha vijana kila wikiendi kujadiliana mambo yaliyo-trend yanayohusu harakati za michongo

🚨 Mada zinazojadiliwa

💰 Michongo na Mitikasi

💃 Mitindo ya Maisha

🤾‍♀️Sanaa na Michezo

⚡ Ubunifu

📍Tukutane kila;

📅 Ijumaa
🕦7:00PM-8:00PM | Stori za Maskani
🕦8:00PM-9:00PM | Michongo
🕦9:00PM-9:30PM | Sauti za Mtaa
🕦9:30PM-10:00PM | Lifestyle
🕦10:00PM-10:30PM | Patapotea

📍 Kwa maunjanja zaidi, tufuate;

IG: MemaSpaces
Twitter: MemaSpaces
Facebook: MemaSpaces
TikTok: MemaSpaces

📍Soma #Wakilisha kupitia #MemaMagazine

📍Powered by: Mema Magazine
Uhuru wa Maoni: Heshimu mawazo ya kila mmoja, kubali kutofautiana kimawazo - funguka tu mtu wangu.
Funguka Mic: Usivunje mic kama haujaruhusiwa kuongea.
Kaa kwa Foleni: Subiri mwenzako amalize kuonge kisha uanze kutema madini, usimvamie mwenzako. Kumbuka gari lina dereva mmoja tu.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
June 21, 2024 18 +1 +5.9%
March 18, 2024 17 +2 +13.4%
January 28, 2024 15 +2 +15.4%
December 14, 2023 13 0 0.0%
November 04, 2023 13 0 0.0%
October 05, 2023 13 +2 +18.2%
September 05, 2023 11 0 0.0%
August 08, 2023 11 +1 +10.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs