NGOs Tanzania on Clubhouse

NGOs Tanzania Clubhouse
244 Members
Updated: Apr 24, 2024

Description

Hii ni club ya Waanzilishi, wamiliki, waendeshaji, wasimamizi na watumizi wa Mashirika yasiyo yankiserikali Tanzania na nje ya Tanzania.

Maono: ni kuwa club Bora na ya kwanza katika kutoa elimu, Kujenga uwezo na kusaidia Mashirika ili yafanye kazi kwa weledi na wepesi zaidi.

Dhamira; kutumia jukwaa hili Kama sehemu ya kichocheo cha kuelimisha, kushauri na kuwezesha utekelezaji wa Sera, kanuni na taratibu za uanzishwaji, Usimamizi na uedeshwaji.

Malengo
Kukuza uelewa kuhusu asas za kiraia (NGOs, NPOs, FBOs, CBOs nk), Kufanya Ushawishi na utetezi, Kujenga uwezo, Kuunganisha NGOs na Wafadhili, Kuzisaidia NGOs kufikia malengo.

==================================
Mawasiliano
SAMSON KARUME
Social Protectionist (Cert. Adv Dip. Social Protection IFM Dar, 2009.
P. O. Box 79149,
Dar es salaam, Tanzania


📞 +255 (0) 7 42-55-0551
[email protected]

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
April 24, 2024 244 +3 +1.3%
February 12, 2024 241 0 0.0%
December 29, 2023 241 0 0.0%
November 15, 2023 241 -1 -0.5%
October 15, 2023 242 +3 +1.3%
September 15, 2023 239 +2 +0.9%
August 17, 2023 237 +3 +1.3%
July 15, 2023 234 +3 +1.3%

Charts

Some Club Members

More Clubs