Tanzanians in N America on Clubhouse

Tanzanians in N America Clubhouse
394 Members
Updated: Mar 29, 2024

Description

Umoja wa Watanzania North America. i.e U.S,Canada and Mexico.

Mnakaribishwa sana kwenye Club ya Watanzaniania wa North America. Also known as Tanzanian Society of North America. (TASONA).

Hii ni Club ya watu wa asili ya kutoka Tanzania au marafiki wa Tanzania waishio na kufanya kazi au kusoma North America.

Madhumuni na nia ya hii club.

✔️Ni kukutanisha/kuunganisha Watanzania waishio North America.

✔️Kujenga na kuimarisha umoja wa wa Tanzania North America.

✔️Kushirikiana katika nyanja mbalimbali kama jumuia ya Watanzania.

✔️Kwa diasporans kuconnect na Tanzania through personal/business or official links etc.

Mkakaribishwa watu wote..🙏🙏

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 29, 2024 394 +4 +1.1%
February 08, 2024 390 +2 +0.6%
December 24, 2023 388 +3 +0.8%
November 12, 2023 385 +5 +1.4%
October 12, 2023 380 +2 +0.6%
September 12, 2023 378 +4 +1.1%

Charts

Some Club Members

More Clubs