NDOA NA FAMILIA on Clubhouse

NDOA NA FAMILIA Clubhouse
1.3k Members
Updated: Nov 30, 2022

Description

Nyumbani ni mahali pa msingi pa kurejeza sura ya Mungu kwa wanaume na wanawake.

Katika
familia, baba, mama na watoto wanaweza kujieleza kikamilifu, wakitimiza mahitaji yao ya
kuhusiana, kupendana na kuthaminiana. Nyumba pia ni mahali ambako neema ya Mungu, ile
misingi ya kikristo inapofanyiwa mazoezi na thamani zake zikahamishwa kutoka kizazi kimoja
kwenda kingine.

Nyumbani ni mahali pa furaha kubwa.

Vile vile nyumbani panaweza pakawa
mahali pa maumivu makali. Maisha ya maelewano hudhihirisha misingi ya kikristo na
kufunua tabia ya Mungu.

Bahati mbaya maisha ya namna hii ni magumu kupatikana kwenye
nyumba nyingi. Badala yake kinachoonekana, ni maisha yenye kufunua mioyo ya kibinadamu
iliyojaa ubinafsi – magomvi, uasi, ushindani, hasira, ubaya na hata ukatili.

Haya hayakuwa
sehemu ya mpango wa awali wa Mungu tangu awali. Yesu alisema, “tangu mwanzo haikuwa
hivi.” (Mt.19:8)

Jiunge hapa WHATSAPP

https://chat.whatsapp.com/JdboACpcJOh10eEi8hWWNi

Rules

Heshima, utu na kujali

je unakubali kuheshimu maoni ya wenzako hata kama unatofautiana na mtazamo wake?

Mungu mmoja, Baba wa wote

Je unaamini kuwa sote tu watoto wa Mungu, pamoja na tofauti za imani zetu?

Mlinzi wa nduguyo

Je unakubali kwamba wewe ni mlinzi wa mwenzio na una jukumu la kumsaidia kukuwa kimwili, kiroho, kiakili na kijamii?

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
November 11, 2022 1,300 +100 +8.4%
September 02, 2022 1,200 +100 +9.1%
July 05, 2022 1,100 +100 +10.0%
June 16, 2022 1,000 +4 +0.5%
June 09, 2022 996 +21 +2.2%
June 03, 2022 975 +14 +1.5%
May 27, 2022 961 +12 +1.3%
May 20, 2022 949 +10 +1.1%
May 14, 2022 939 +14 +1.6%
May 07, 2022 925 +16 +1.8%
April 30, 2022 909 +15 +1.7%
April 23, 2022 894 +16 +1.9%
April 16, 2022 878 +26 +3.1%
April 09, 2022 852 +25 +3.1%
April 02, 2022 827 +20 +2.5%
March 26, 2022 807 +18 +2.3%
March 18, 2022 789 +27 +3.6%
March 11, 2022 762 +193 +34.0%
November 23, 2021 569 +6 +1.1%
November 19, 2021 563 +2 +0.4%
November 18, 2021 561 +5 +0.9%
November 16, 2021 556 +1 +0.2%
November 15, 2021 555 +3 +0.6%
November 14, 2021 552 +6 +1.1%
November 13, 2021 546 +5 +1.0%
November 12, 2021 541 +12 +2.3%
November 08, 2021 529 +34 +6.9%
November 06, 2021 495 +10 +2.1%
November 03, 2021 485 +7 +1.5%
October 31, 2021 478 +6 +1.3%

Charts

Some Club Members

More Clubs