AFYA YA FIGO on Clubhouse

AFYA YA FIGO Clubhouse
9 Members
Updated: Mar 19, 2024

Description

Karibu sana katika club hii ya afya ya figo,
tutakuwa tunaelezea
*Nini maana ya afya ya figo,
*Faida za utunzaji wa figo,
*Dalili za figo kushindwa kufanya kazi,
*Hatua gani za kufuata baada ya kugundua una dalili hizo,
*Na je madhara gani yanayoweza kutokea baada ya figo kushindwa kufanya kazi.
Tutakua na room kwa week Mara moja, na vilevile kutakuwa na wataalamu mbalimbali wa maswala ya figo wakitoa elimu hii.
FIGO YAKO AFYA YAKO.
Karibu

@ https://instagram.com/healthier_kidneys?igshid=YmMyMTA2M2Y=

Some Club Members

More Clubs