Uchambuzi Wa Biblia Maswali Na Majibu on Clubhouse

Uchambuzi Wa Biblia Maswali Na Majibu Clubhouse
119 Members
Updated: Mar 10, 2024

Description

Karibu Tujifunze Neno La Mungu Katika Biblia Kila Siku Jumatatu Mpaka Jumapili Kuanzia Saa 12:30 Jioni Mpaka Saa 1:30 Usiku. Tunachambua Kitabu Kwa Kitabu Kuanzia Mwanzo Mpaka Ufunuo. Tuna Dakika 5 Kwa Kila Mtu Za Kuchangia Nini Umejifunza Katika Kitabu Husika. Pia Maswali Na Majibu. Mazungumzo Yetu Yanaongozwa Na Ufahamu Kuwa Yesu Ni Bwana Na Mwokozi Wa Maisha Yetu. Pia Tunaamini Katika Utatu Mtakatifu Na Kazi Za Roho Mtakatifu. Tunaanza Kwa Sala Na Kumaliza Kwa Sala.
Tunaamini Kuwa Yesu Ni Bwana Na Mwokozi Wa Maisha Yetu:
Tunaamini Katika Utatu Mtakatifu:
Tunaamini Katika Kazi Za Roho Mtakatifu:

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 10, 2024 119 0 0.0%
January 20, 2024 119 0 0.0%
December 06, 2023 119 +1 +0.9%
October 30, 2023 118 -1 -0.9%
September 30, 2023 119 +4 +3.5%
August 31, 2023 115 +1 +0.9%

Charts

Some Club Members

More Clubs