BUHAYA NA WAHAYA on Clubhouse

BUHAYA NA WAHAYA Clubhouse
15 Members
Updated: Jul 8, 2024

Description

BUHAYA NA WAHAYA
Ni kundi ambalo linalenga kuwakutanisha WAHAYA wote Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Tukiwa na malengo yafuatayo.

1. Kuwaunganisha wahaya wote kujuana na kufahamiana.
2. Kujadili na kutafafakari juu ya Mila na desturi za Wahaya
3. Kujadili chimbuko la Wahaya
4. Kujadili koo na taboos za kila koo
5. Nk
1. Lugha ya mazungumzo : Lugha rasmi ya humu Ndani itakuwa ni KIHAYA/RUHAYA Lugha nyinginezo zitakazo ruhusiwa ni Kiswahili na Kingereza
2. Nidhamu katika kundi wakati wa mjadara : pindi mtu unaponyoosha mkono kwa ajili ya kutaka kuzungumza, mara baada ya moderator/mwongozaji kukuruhusu kuingia kwenye sehem ya kuchangia Sharti uzime mic yako mpaka pale utakaporuhusiwa kuongea
3. Uandaaji wa Mada ya mjadara: mtu yeyote anaeweza kupendekeza mada anayoona inafaa na atalazimika kuituma mada hiyo kwa viongozi wa kundi, na wao wataipitia na kuipangia siku, muda wa kuweza kuijadiri

Some Club Members

More Clubs