TZ Mobile Networks Agents on Clubhouse

TZ Mobile Networks Agents Clubhouse
49 Members
Updated: May 25, 2024

Description

Club hii ni sauti ya Mawakala au uwanja unaotoa fursa ya kujadili kazi na maslahi ya Mawakala wa Mitandao yote ya Simu za mkononi Tanzania,muda umekamilika,wakala nguvu Moja,Historia inatuita,#Hakikwahaki

VileVile ni eneo linalo msaidia Wakala kuwasiliana na kubadilishana Uzowefu,Maarifa,Ushauri na Msaada ihitajikapo toka kwa Mawakala wenzako au yeyote mwenye ufahamu mkubwa juu ya unacho hitaji.

NB: ni Club ya Umoja,kusaidiana na kupigania Haki ya Mawakala wa Mitandao ya Simu Tanzania ilio sahaulika miongoni mwa makundi ya wajasiriamali.Bilashaka tunaimarika kupitia semi hizi;-It is a great sin to kill examples.#Solvelifedisasters

Charts

Some Club Members

More Clubs