Karibu CALVARY SALVATION CHURCH - Nuru ya Utukufu. KIMARA SUKA GOLANI - Dar Es Salaam, hakika kwa Mungu yote yanawezekana, tunamuona Mungu akifanya MATENDO makuu, ishara na maajabu, Jumapili ibada saa 3:00 Asubuhi.