Binadamu hawezi kufa bila kumuumiza aliyemuumba, lakini pia hawezi kufa bila kukukosea, halafu kukukosea tena, na kukukosea zaidi hii yote lazima afanye ili ubaki 1) katika maumivu 2) katika uimara zaidi. Aamua leo kupambna nae au muache akapambanie dhambi zake mbele.