Mkushi Halisi on Clubhouse

Updated: Nov 8, 2023
Mkushi Halisi Clubhouse
831 Followers
61 Following
@mkushitz Username

Bio

I'm Philosophy 🧠
(Stoicism)-(Taoism)
👁
Meditation is my life/
{Spiritual Wisdom}
{Spiritual Light}
{Enlightenment}
{Psychologist }
{Music Artist}🎸
(Daktari wa maisha)
$☀U☀L☀{✊🏿🇹🇿}
✍🏻
Kile sjui, Sidhani kama najua pia.
✍🏻🤘🏻
Msingi wa kujua mengi, nikukubali kuishi kama mjinga mwenye kiu ya maarifa.

Neno lako ni uchawi safi, na matumizi mabaya ya neno lako ni uchawi mweusi.

Mjadala unapopotea, Kashfa ndio chombo cha aliyepoteza.

Kushikilia hasira ni kama kunywa sumu na kusubiri mtu mwingine afe.

Vurugu ndio kimbilio la mwisho la wasio na uwezo.

Unaweza kuogopa tu, kile unachofikiria unajua.

Huwezi kuvuka bahari kwa kusimama tu, na kutazama maji.

ikiwa unalia kwa sababu jua limetoka maishani mwako, machozi yako yatakuzuia kuona nyota.

Wakati ni kitu cha thamani zaidi ambacho mtu anaweza kutumia.

Umaskini Au Shida isikufanye uone kila anaekusaidia anakupenda.

Ruhusu maisha yako yacheze kidogo kwenye kingo za wakati kama umande kwenye ncha ya jani.

Unapo panga kulipa kisasi chimba Makaburi mawili-Moja lako.

Haijalishi ni kiasi gani unafanya kazi, jambo kuu ni matokeo.

Nibora kufanya sehemu ndogo ya kazi kikamilifu, kuliko kuifanya mara kumi vibaya zaidi.

Mahitaji ya msingi ya maisha, nirahisi kila mtu kuyapata, ni anasa ndio zinafanya maisha yetu kuwa magumu.

Tunaamini kile tunachoamini, na imani zetu zinatufanya tuwe wanyonge, ni kana kwamba tunaishi katikati ya ukungu ambao usituruhusu kuona zaidi ya pua zetu wenyewe.
Tunaishi kwenye ukungu ambao sio halisi.

Mfumo wa imani, ni kama kitabu cha sheria kinachotawala Akili zetu.

Kuogopa kufa nikama kuogopa kuitupa nguo iliyo chakaa.

Tabasamu ni Tiba ya bure🧠

Amua kuwa kile unachotaka kuonekana kuwa.
🧠✍🏻
Jua vile vitu muhimu kwa maisha yako kwenda, kisha usikubali vingine vikusumbue kwa sababu siyo muhimu kwako.
Kila mtu ana vitu ambavyo ni muhimu kabisa kwenye maisha yake, Chakula, Mavazi, Malazi, Afya na elimu ni vitu ambavyo ni muhimu kwa kila mtu.
Nakila mtu ana kiasi katika vitu hivyo ambacho kinafanya maisha yake kwenda vizur.
Kinacho tusumbua kwenye maisha ni pale tunapo jilinganisha na wengine nakuona kwa sababu wengine wana zaidi, basi nasisi tunapaswa kuwa na zaidi.
tunakazana kupata zaidi siyo kwa sababu tunahitaji, ila kwa sababu wengine wana zaidi.
Haya ni mateso ya kujitakia kwenye maisha.
💀🌎💀
{Jiishi}
Utafikia sifa nzuri kwa kujitahidi kuwa kile unachotaka kuonekana kuwa.
{/\/\₹₤π₪¡ ¦~¦|_|®U}
💔
R-I-P Dada{Sharon Abu}
Nov.15. 1976-🌹
Sept.23. 2022.🌹

Member of

More Clubhouse users