KAZI/TAALUMA;
Daktari wa Binadamu Idara ya Afya ya Akili | Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya |
Ni mwandishi na mchangiaji maudhui na makala za afya magazetini na radio mbalimbali.
Magazeti niloandikia na kuchangia maudhui ya makala za afya ya akili; Mwananchi, RAIA MWEMA, SAUTI KUU, Nipashe, Zanzibar Leo, Afrika Leo, Uhuru, Habari Leo, Rada, Mwanajamii,
Nje ya nchi magazeti ni; Home Times - Sierra Leone, Kenya
Radio ambazo kwa namna moja nimechangia maudhui ya afya ya akili
| Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika VOA Swahili |
| BBC Swahili - Afya ya akili & Mwanaume|
| Radio 5 - Arusha |
| Rocky Fm - Mbeya |
Huduma zangu ninazofanya kupitia idara ya afya ya akili
1. Uelimishaji jamii kuhusu afya akili
2. Kuwaona wagonjwa kupita kliniki hospitalini
3. Ushauri kwa njia ya mtandao na masomo mtandaoni ( Online Consultation)
USHAIRI & UANDISHI
Ni mshairi wa mashairi ya mapokeo. Nimeandika kitabu cha USIICHOKE SAFARI
Mashairi nimeandika kupitia magazeti; Mwananchi, Uhuru, Afrika Leo na Raia Mwema.
USOMAJI WA VITABU
Nina uzoefu katika usomaji wa vitabu na kuchambua vitabu.
Ukihitaji kujua mambo mengi kuhusu usomaji wa vitabu mlango upo wazi.
UWEKEZAJI & ELIMU YA FEDHA
Mwekezaji na mwalimu wa uwekezaji wa mifuko ya pamoja ya uwekezaji ( UTT AMIS & WHI)
FALSAFA YA USTOA
Nafundisha Ustoa, kuandika na Kutoa mchango kupitia blogu ya Ustoa Tanzania
Kitabu Kipya | Maisha Yataka Ujikaze|
Mawasiliano; +255 676 559 211
Barua pepe; [email protected]
if the data has not been changed, no new rows will appear.
Day | Followers | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
January 17, 2024 | 708 | +277 | +64.3% |
October 04, 2022 | 431 | +29 | +7.3% |
August 13, 2022 | 402 | +39 | +10.8% |
July 07, 2022 | 363 | +28 | +8.4% |
May 30, 2022 | 335 | +39 | +13.2% |
April 23, 2022 | 296 | +35 | +13.5% |
March 15, 2022 | 261 | +99 | +61.2% |
January 17, 2022 | 162 | +46 | +39.7% |
December 10, 2021 | 116 | +86 | +286.7% |