Tanzania Farmers Club | Dhamira yetu kubwa ni kushirikishana habari kuhusu kilimo, kubadilishana maarifa, ujuzi, pamoja na kuwakutanisha wakulima kujadili maswala mbalimbali yanayohusu kilimo.
Mawazo ya mtu yaheshimiwe.: Ni wajibu wa kila mmoja katika club kuheshimu wazo la mwenzake hata kama atakua na mtizamo tofauti, aidha wazo la mtu lipingwe kwa hoja.
Lugha za matusi haziruhusiwi.: Haturuhusu lugha za matusi na lugha zinazosababisha uchochezi, ubaguzi na udhalilishaji.
Tunaruhusu Agenda za Kilimo Tu: Mtu yeyote kwenye Club anaweza kuanzisha agenda lakini ni lazima iwe inahusiana na Kilimo.
| Day | Members | Gain | % Gain |
|---|---|---|---|
| July 22, 2024 | 195 | +3 | +1.6% |
| April 26, 2024 | 192 | 0 | 0.0% |
| February 13, 2024 | 192 | 0 | 0.0% |
| December 30, 2023 | 192 | 0 | 0.0% |
| November 16, 2023 | 192 | 0 | 0.0% |
| October 16, 2023 | 192 | 0 | 0.0% |