BUNGE LETU MITANDAONI linakupa nafasi maalum ya kushiriki mijadala mbalimbali inayohusu mambo yote yanayoligusa Taifa letu la Tanzania. Tutapata nafasi ya kujifunza kutoka kwa Viongozi wetu, Wanazuoni, Wataalam pamoja na WaTanzania wengine wote.
Tunatarajia kuwa na ‘Wabunge 264 wa BUNGE LETU MITANDAONI, sambamba na ilivyo kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano. Hawa wabunge wataweza kuwakilisha hoja zao kwa kila jimbo la Tanzania au hoja za kitaifa.
Kama unao uwezo wa kuongelea mahitaji/matatizo/maoni ya jimbo lolote la Tanzania, tafadhali tufahamishe (Attach Note) unapojiunga ili tuweze kukujumlisha katika Wabunge wa BUNGE LETU MITANDAONI.
Mijadala yao pamoja na majadiliano mengine tutajitahidi kuyawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano na Serikalini, ili ikiwezekana iwafikie wahusika kama ushauri wetu kwao.
Asante sana.
TUMIA LUGHA NADHIFU: Tumia lunga ya heshima, usitukane au kutoa matusi, usitumie vitisho.
USIKIVU KWA MODERATORS: Heshimu wasimamizi wa midahalo. Wao watakuwa na uamuzi wa mwisho juu ya waongeaji.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
July 20, 2024 | 386 | +5 | +1.4% |
April 24, 2024 | 381 | +3 | +0.8% |
February 12, 2024 | 378 | +1 | +0.3% |
December 29, 2023 | 377 | +1 | +0.3% |
November 15, 2023 | 376 | 0 | 0.0% |
October 15, 2023 | 376 | +3 | +0.9% |
September 15, 2023 | 373 | +3 | +0.9% |
August 17, 2023 | 370 | +5 | +1.4% |