Salamu!
Club hii inalenga kujadili masuala ya kichumi kitaaluma kwa namna nyepesi na kuhusianisha na hali halisi ya maisha ya mwanadamu. Walengwa hasa ni watu wote ambao si wataalam wa Uchumi ila wanapenda kuwa na uelewa wa masuala mbalimbali ya kichumi ili kuweza kuelewa sera, mipango na taarifa za kichumi za nchini Tanzania na duniani kwa ujumla.
Wachumi mahiri watakuwa wanaalikwa ili kutoa mada mahsusi.
Karibuni sana!
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 12, 2024 | 629 | +12 | +2.0% |
March 13, 2024 | 617 | +4 | +0.7% |
January 23, 2024 | 613 | +6 | +1.0% |
December 09, 2023 | 607 | +4 | +0.7% |
November 01, 2023 | 603 | +5 | +0.9% |
October 02, 2023 | 598 | +5 | +0.9% |
September 02, 2023 | 593 | +1 | +0.2% |
August 05, 2023 | 592 | +2 | +0.4% |