PATRICE LUMUMBA BOARD on Clubhouse

PATRICE LUMUMBA BOARD Clubhouse
4.1k Members
Updated: Jun 30, 2022

Description

hapa ndo wasomi na welevu hukutana kujadili matukio ya kisiasa ,kiuchumi,michezo na kijeshi ,sayansi na falsa, kijamiii

hapa hatuna uchama/dini yaani uccm au uchadema ukija hapa weka dini pembeni chama kule fact kwanza yaani

tuna heshimu mawazo yote

personal attack hazina nguvu sana zinaruhusiwa katika kueka point sawa ila sio za matusi

moderator mkuuu ndo anakuwa mwenyekiti wa room kazi yake kutunza muda na kugawa mic pia anaweza toa maonikumbuka matusi marufuku

Rules

hatuna chama wala dini

club yetu si haifungamani na chama chochote kile ..hivyo ukija hata fact kwanza ....ukija hapa kumbuka maoni yote ni sawa awe wa ccm chadema na act wote ni sawa awe mkristo mpagani au muislm

matusi marufuku

tunaamini matusi huleta fujo maarufuku person attack zisizid sana zinaruhusiwa za juuu juuu ila ukienda mbali tunahesabu hayo ni matusi

democracy and facts

club yetu inaindeshwa democracy na facts yaaani maoni yote ni sawa ... JITAHID SANA HAPA UKIWA JIFUNZE KUSIKIA USIVYOPENDA KUSIKIA NDO DEMOCRACY

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
June 23, 2022 4,100 +100 +2.5%
June 03, 2022 4,000 +100 +2.6%
May 08, 2022 3,900 +100 +2.7%
April 24, 2022 3,800 +100 +2.8%
April 03, 2022 3,700 +100 +2.8%
March 19, 2022 3,600 +100 +2.9%
March 12, 2022 3,500 +1,219 +53.5%
November 24, 2021 2,281 +13 +0.6%
November 22, 2021 2,268 +42 +1.9%
November 21, 2021 2,226 +39 +1.8%
November 20, 2021 2,187 +15 +0.7%
November 19, 2021 2,172 +100 +4.9%
November 18, 2021 2,072 +21 +1.1%
November 17, 2021 2,051 +28 +1.4%
November 16, 2021 2,023 +86 +4.5%
November 15, 2021 1,937 +8 +0.5%
November 14, 2021 1,929 +45 +2.4%
November 13, 2021 1,884 +41 +2.3%
November 11, 2021 1,843 +35 +2.0%
November 10, 2021 1,808 +146 +8.8%
November 08, 2021 1,662 +1 +0.1%
November 07, 2021 1,661 +41 +2.6%
November 06, 2021 1,620 +65 +4.2%
November 05, 2021 1,555 +16 +1.1%
November 04, 2021 1,539 +9 +0.6%
November 03, 2021 1,530 +49 +3.4%
November 01, 2021 1,481 +14 +1.0%
October 31, 2021 1,467 +26 +1.9%
October 30, 2021 1,441 +60 +4.4%

Charts

Some Club Members

More Clubs