Nyota Njema Charity Org on Clubhouse

Nyota Njema Charity Org Clubhouse
271 Members
Updated: Mar 16, 2024

Description

Hii ni space maalum kwa ajili ya wanajumuiya na wadau wa jumuiya ya Nyota Njema.

Nyota Njema ni taasisi iliyosajiliwa na wizara ya mambo ya ndani inayohusika na kusaidia jamii wakiwemo Yatima, Wazee, Wajane na Wasiokuwa na Uwezo katika nyanja za Afya, Elimu na Utambuzi binafsi.

Kutakuwa na Space kila Jumamosi saa 2:30 Usiku - 4 Usiku tukizungumzia maswala mbalimbali ikiwemo kujitolea, biashara, Ujasiriamali, Teknolojia, Mahusiano na Maisha kiujumla.

Tutakuwa na wataalamu mbalimbali.

Karibuni
Kila Space itakuwa na Waongozaji (Moderators): Ukihitaji kuzungumza chezesha mic, nyoosha mkono au omba kuzungumza kisha utaruhusiwa.
Tumia Lugha Nzuri: Lugha za Matusi, dharau, Kebehi au maneno yoyote yaliyo nje ya maadili hayaruhusuwi.

Rules

Kila Space itakuwa na Waongozaji (Moderators)

Ukihitaji kuzungumza chezesha mic, nyoosha mkono au omba kuzungumza kisha utaruhusiwa.

Tumia Lugha Nzuri

Lugha za Matusi, dharau, Kebehi au maneno yoyote yaliyo nje ya maadili hayaruhusuwi.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 16, 2024 271 0 0.0%
January 26, 2024 271 +1 +0.4%
December 12, 2023 270 +1 +0.4%
November 03, 2023 269 0 0.0%
October 04, 2023 269 0 0.0%
September 04, 2023 269 +1 +0.4%
August 07, 2023 268 0 0.0%
July 06, 2023 268 +2 +0.8%
April 11, 2023 266 0 0.0%
March 14, 2023 266 +1 +0.4%
January 23, 2023 265 +2 +0.8%
January 15, 2023 263 +1 +0.4%
October 29, 2022 262 +1 +0.4%
October 15, 2022 261 +1 +0.4%
September 24, 2022 260 -1 -0.4%
September 11, 2022 261 +1 +0.4%
August 19, 2022 260 +1 +0.4%
July 31, 2022 259 +1 +0.4%
July 18, 2022 258 +1 +0.4%
June 28, 2022 257 +1 +0.4%
June 22, 2022 256 +1 +0.4%
June 08, 2022 255 +3 +1.2%
May 26, 2022 252 +1 +0.4%
May 13, 2022 251 +3 +1.3%
May 06, 2022 248 +2 +0.9%
April 29, 2022 246 +1 +0.5%
April 15, 2022 245 +2 +0.9%
April 08, 2022 243 +1 +0.5%
March 26, 2022 242 +1 +0.5%
March 17, 2022 241 -1 -0.5%

Charts

Some Club Members

More Clubs