Natokaje Kidigitali on Clubhouse

Natokaje Kidigitali Clubhouse
36 Members
Updated: Apr 17, 2024

Description

Natokaje Kidigitali ni jukwaa la kwanza afrika mashariki linalokusanya kanza data (data base) ya vijana wadogo wanaotumia mitandao kukuza uwezo wao, lakini pia linatoa elimu kwa vijana chini ya miaka 18 wafahamu namna sahihi ya kutumia uwanja wa mtandaoni ili kuweza kunufaika na uchumi wa kidigitali kupitia kuwakutanisha na wabobezi mbalimbali wa biashara, na huduma za kidigitali.

Tumia Lugha nzuri: Jukwaa linathamini mchango wa watu wote. Wasilisha mchango au wazo lako pasipo kutumia lugha zenye maudhi au kero.
Kubali wenzio wataona 6 wewe ukiona 9: Jukwaa linahusisha watu tofauti tofauti ambao tunatofautiana kufikiria, kuwaza, au kutatua jambo. Kubali kukosolewa, kubali kukosoa bila kukasirika.
Hakuna anayejua kila kitu.: Usiogope kuuliza! Ni RUKSA!

Rules

Tumia Lugha nzuri

Jukwaa linathamini mchango wa watu wote. Wasilisha mchango au wazo lako pasipo kutumia lugha zenye maudhi au kero.

Kubali wenzio wataona 6 wewe ukiona 9

Jukwaa linahusisha watu tofauti tofauti ambao tunatofautiana kufikiria, kuwaza, au kutatua jambo. Kubali kukosolewa, kubali kukosoa bila kukasirika.

Hakuna anayejua kila kitu.

Usiogope kuuliza! Ni RUKSA!

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
April 17, 2024 36 0 0.0%
February 09, 2024 36 0 0.0%
December 26, 2023 36 0 0.0%
November 13, 2023 36 0 0.0%
October 13, 2023 36 0 0.0%
September 13, 2023 36 0 0.0%
August 15, 2023 36 0 0.0%
July 13, 2023 36 0 0.0%
June 19, 2023 36 +3 +9.1%
March 18, 2023 33 0 0.0%
March 03, 2023 33 +1 +3.2%
January 12, 2023 32 +1 +3.3%
October 11, 2022 31 +1 +3.4%
September 13, 2022 30 +1 +3.5%
September 06, 2022 29 +1 +3.6%
August 02, 2022 28 +2 +7.7%
July 13, 2022 26 +3 +13.1%
June 30, 2022 23 +1 +4.6%
June 10, 2022 22 +1 +4.8%
May 01, 2022 21 +1 +5.0%
April 24, 2022 20 +2 +11.2%
April 17, 2022 18 +1 +5.9%
April 03, 2022 17 +2 +13.4%
March 12, 2022 15 +2 +15.4%
February 16, 2022 13 +6 +85.8%

Charts

Some Club Members

More Clubs