Tunainuana na kuelimishama kuhusu afya yetu ya akili. Kusimulia mapito yetu kwaweza kutuponya kwa kufungua ya moyoni, lakini pia kwaweza kuponya mtu fulani mahali fulani. Tunaelimishana kutengeneza uelewa, kupunguza/kuondoa unyanyapaa na kushiriki kujenga jamii inayojali na inayowasaidia wanaopitia changamoto za afya yao ya akili. Ni Sawa Kutokuwa Sawa ( It's Okay Not To Be Okay)
www.goshare.or.tz
| Day | Members | Gain | % Gain |
|---|---|---|---|
| June 25, 2024 | 505 | +1 | +0.2% |
| March 20, 2024 | 504 | +1 | +0.2% |
| January 30, 2024 | 503 | 0 | 0.0% |
| December 16, 2023 | 503 | 0 | 0.0% |
| November 06, 2023 | 503 | 0 | 0.0% |
| October 06, 2023 | 503 | +1 | +0.2% |
| September 07, 2023 | 502 | +1 | +0.2% |