Marketing Forum on Clubhouse

Marketing Forum Clubhouse
105 Members
Updated: May 2, 2024

Description

Marketing Forum🎙️ ni Uwanja pekee maarufu nchini Tanzania unaojadili mambo muhimu ya Masoko na teknolojia za Kidigitali ktk shuguli za Masoko.
_
Key Topics
💡Digital Marketing tools
📈Digital Marketing Trends
📲Social Media
📊Marketing Analytics
🤳Consumer engagement
🔦Branding in Digital Era
🧭The future of Marketing
👩‍🎓 Marketing Career
💡 Product Launch
👩‍💻 Live Talk:Marketing Experts
👩‍🏫 Personal Branding
Lugha ya staha: Kila member wa forum hii atatakiwa kutumia lugha ya staha isiyo na matusi pale anapotoa mchango wake
Kuthamini Mawazo ya Mwingine: Pale inapotokea kuna mwana forum anamawazo tofauti na mwana forum yeyote basi hatatakiwa kumpinga kwa jazba, lugha ya matusi na kejeli bali ajenge hoja.
Hoja bila Hisia: Kila mwana forum atatakiwa kutoa hoja zisizo na mihemko ya hisia, bali ziwe zimejengwa ktk msingi wa rationality

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
May 02, 2024 105 0 0.0%
February 17, 2024 105 0 0.0%
January 02, 2024 105 +1 +1.0%
November 19, 2023 104 +1 +1.0%
October 18, 2023 103 0 0.0%
September 18, 2023 103 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs