KUKAYE MOTO on Clubhouse

KUKAYE MOTO Clubhouse
216 Members
Updated: Mar 20, 2024

Description

Kukaye Moto Tanzania 🇹🇿 ni club inayounganisha vijana, na wazee ili kujadiliana kuhusu masuala muhimu yanayohusu utamaduni Kama vile Mila, Desturi, Lugha, Sanaa, na Michezo.

Maono
Ni kuwa na jamii Selena yenye uelewa kutosha kuhusu matumizi Bora ya utamaduni.

Dhamira
Kuhakikisha utamaduni unakuwa bidhaa inayouzika na kumpatia mwanautamaduni kipato.

Kazi zetu
🔸Kukuza uelewa
🔸Kufanya wigo/ mtandao
🔸Kujenga uwezo
🔸Ushawishi na utetezi
🔸Kusaidia urasmishaji, Usimamizi na uendeshaji
==================================

RATIBA YA WIKI
Kila siku 3:00 - 4:00 Usiku

Jumatatu:
MILA NA DESTURI

Jumanne
SANAA

Jumatano
LUGHA

Alhamisi
DINI NA IMANI

Ijumaa
UTAMADUNI WA KABILA

Jumamosi
SERA, SHERIA, KANUNI, TARATIBU NA MAMLAKA ZA UTAMADUNI ZA AFRIKA
=================================



❇️
Muuundaji wa club
Karume S

+255 742-55-0551
[email protected]
www.kukayemoto.de
==================================
Uadilifu: Tuko hapa pamoja kujadili masuala yanayomuhusu Muafrika, tafadhali kuwa kuwa muadilifu mwenyen lugha ya staha na heshima, jadiliana kwa hoja kwa kukubaliana kwa kutofautiana bila kumuathiri mwenzako.
Hapana lugha ya matusi na dharau: Hakikisha kila mshiriki yuko salama. Dharau ya aina yoyote hairuhusiwi michango ya kibaguzi hairuhusi heshimu Dini/Imani, Jinsia, na desturi yankila mtu.
Heshimu Faragha ya kila mtu: Kuwa katika club hii inahitaji kuaminiana sana, mijadala ya kujenga inafanya club inakuwa nzuri sana ila pia inaweza kuwa ya faragha, yale yanayozungumzwa hapa yabaki hapa hapa.

Rules

Uadilifu

Tuko hapa pamoja kujadili masuala yanayomuhusu Muafrika, tafadhali kuwa kuwa muadilifu mwenyen lugha ya staha na heshima, jadiliana kwa hoja kwa kukubaliana kwa kutofautiana bila kumuathiri mwenzako.

Hapana lugha ya matusi na dharau

Hakikisha kila mshiriki yuko salama. Dharau ya aina yoyote hairuhusiwi michango ya kibaguzi hairuhusi heshimu Dini/Imani, Jinsia, na desturi yankila mtu.

Heshimu Faragha ya kila mtu

Kuwa katika club hii inahitaji kuaminiana sana, mijadala ya kujenga inafanya club inakuwa nzuri sana ila pia inaweza kuwa ya faragha, yale yanayozungumzwa hapa yabaki hapa hapa.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 20, 2024 216 0 0.0%
January 30, 2024 216 0 0.0%
December 17, 2023 216 +1 +0.5%
November 06, 2023 215 0 0.0%
October 07, 2023 215 0 0.0%
September 07, 2023 215 0 0.0%
August 09, 2023 215 -1 -0.5%
July 08, 2023 216 0 0.0%
June 15, 2023 216 -3 -1.4%
March 15, 2023 219 +5 +2.4%
January 27, 2023 214 +2 +1.0%
January 19, 2023 212 +2 +1.0%
January 08, 2023 210 +1 +0.5%
December 31, 2022 209 +1 +0.5%
December 27, 2022 208 +1 +0.5%
December 24, 2022 207 +7 +3.6%
November 24, 2022 200 +1 +0.6%
November 18, 2022 199 +3 +1.6%
November 11, 2022 196 +1 +0.6%
November 05, 2022 195 +2 +1.1%
October 29, 2022 193 +3 +1.6%
October 16, 2022 190 +2 +1.1%
October 09, 2022 188 +3 +1.7%
September 30, 2022 185 +1 +0.6%
September 24, 2022 184 +3 +1.7%
September 18, 2022 181 +2 +1.2%
September 11, 2022 179 +4 +2.3%
September 02, 2022 175 +1 +0.6%
August 26, 2022 174 +4 +2.4%
August 20, 2022 170 +1 +0.6%

Charts

Some Club Members

More Clubs