CHUMBA CHA HABARI Tz on Clubhouse

CHUMBA CHA HABARI Tz Clubhouse
183 Members
Updated: Mar 13, 2024

Description

Jukwaa huru la wadau wa habari na mawasiliano; mashirika ya habari, vyombo vya habari na wapendwa tasnia ya habari na mawasiliano kuongea yahusuyo taaluma, sheria, miiko, maadili, habari, taarifa, changamoto, mafanikio, maendeleo na mabadiliko ya tansia ya habari na mawasiliano. Maswala mbalimbali yanayomgusa mwandishi wa sasa, maafisa habari, mahafisa mawasiliano na uhusiano wa jamii bila kusahau watoa habari kwa umma.

Mambo yanayoendelea kwenye vyumba vya habari na nyuma ya kamera/vipaza sauti vyetu.

Jukwaa huru la kukutana na watu mbalimbali wa ndani na nje ya tasnia ili kufahamiana, kujengana, kuelimishana, kujuzana, na kuhakikisha tunaweka rekodi sawa ya umuhimu wa tansinia habari na uwepo wa vyombo vya habari nchini.

Tutaenda na wakati kwa kujuzana namna sahihi ya kutumia peni na vipaza sauti ili kufikisha habari sahihi kwa wakati sahibi kwa mlaji. Tutakwenda na wakati pamoja bila kupata mshtuko wa maendeleo.

(Maelezo yafaayao yatakamilika hivi karibuni)

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 13, 2024 183 +3 +1.7%
January 23, 2024 180 +5 +2.9%
December 10, 2023 175 +4 +2.4%
November 01, 2023 171 +3 +1.8%
October 02, 2023 168 +7 +4.4%
September 02, 2023 161 +6 +3.9%
August 05, 2023 155 +5 +3.4%
July 04, 2023 150 +14 +10.3%
April 08, 2023 136 +6 +4.7%
March 13, 2023 130 +23 +21.5%
February 03, 2023 107 +1 +1.0%
January 30, 2023 106 +1 +1.0%
January 22, 2023 105 +1 +1.0%
January 11, 2023 104 +1 +1.0%
January 03, 2023 103 +1 +1.0%
December 27, 2022 102 +1 +1.0%
December 23, 2022 101 +2 +2.1%
November 29, 2022 99 +1 +1.1%
November 23, 2022 98 +1 +1.1%
November 04, 2022 97 +1 +1.1%
October 28, 2022 96 +2 +2.2%
October 22, 2022 94 +1 +1.1%
October 15, 2022 93 +1 +1.1%
October 09, 2022 92 +1 +1.1%
September 29, 2022 91 +1 +1.2%
September 17, 2022 90 +1 +1.2%
September 01, 2022 89 +2 +2.3%
August 25, 2022 87 +3 +3.6%
August 19, 2022 84 +3 +3.8%
August 12, 2022 81 +2 +2.6%

Charts

Some Club Members

More Clubs