Leseni ya malezi. on Clubhouse

Leseni ya malezi. Clubhouse
335 Members
Updated: Mar 20, 2024

Description

ni matamanio ya kila mzazi kuona mtoto wake anafanikiwa sana katika maisha yake, Lakini pamoja na matamanio haya jambo hili limebaki kuwa ndoto tu kwa wazazi na walezi wengi.

Club hii ni jukwaa linalo waleta wazazi na walezi pamoja ili kujadili na kujifunza kuhusu stadi za malezi makuzi na maendelo ya mtoto kulingana na umri pamoja na changamoto zake.

Tutakuwa tukijengana uwezo ili kuweza kuwa wazazi na walezi wazuri kwa watoto wetu.

Kulea ni moja ya mambo magumu sana duniani linalo chukuliwa kirahisi sana na hivyo tumekuwa tukipata matokeo mabovu.

Kulea kunahitaji kujifunza kisha kutenda na kuendelea kujifunza.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 20, 2024 335 0 0.0%
January 30, 2024 335 +3 +1.0%
December 17, 2023 332 0 0.0%
November 06, 2023 332 0 0.0%
October 07, 2023 332 0 0.0%
September 07, 2023 332 -1 -0.4%
August 09, 2023 333 -1 -0.3%
July 08, 2023 334 +1 +0.4%
June 15, 2023 333 +1 +0.4%
March 15, 2023 332 +2 +0.7%
January 23, 2023 330 +1 +0.4%
January 08, 2023 329 +1 +0.4%
December 24, 2022 328 +1 +0.4%
October 16, 2022 327 +1 +0.4%
October 04, 2022 326 +1 +0.4%
September 24, 2022 325 -1 -0.4%
September 11, 2022 326 +2 +0.7%
September 02, 2022 324 +1 +0.4%
August 20, 2022 323 +1 +0.4%
July 25, 2022 322 +1 +0.4%
July 05, 2022 321 +1 +0.4%
June 09, 2022 320 +2 +0.7%
June 02, 2022 318 +1 +0.4%
May 27, 2022 317 +1 +0.4%
May 20, 2022 316 +1 +0.4%
May 14, 2022 315 +1 +0.4%
May 07, 2022 314 +1 +0.4%
April 30, 2022 313 +1 +0.4%
April 23, 2022 312 +1 +0.4%
April 16, 2022 311 +5 +1.7%

Charts

Some Club Members

More Clubs