Muongozo wa group
*1.* Hairuhusiwi kutuma taarifa zisizofungamana na kampeni yetu. *Mfano* Mpira, Vyama vya Siasa n.k
*2.* Hairuhusiwi kutumia Kauli tata, matusi, kebehi zenye kuibua uchochezi au malumbano.
*3.* Hakikisha taarifa unayotoa au kusambaza umejiridhisha nayo. Epuka kutuma jambo lenye kuleta uchonganishi.
Hakikisha unakuwa balozi wa kampeni hii na kushare link ya fom ili watu waweze kujisasijiri
Kataa ukatili wewe ni shujaa💪🔥
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
May 09, 2024 | 7 | +2 | +40.0% |
February 20, 2024 | 5 | +1 | +25.0% |
January 06, 2024 | 4 | 0 | 0.0% |
November 22, 2023 | 4 | 0 | 0.0% |
October 20, 2023 | 4 | 0 | 0.0% |
September 20, 2023 | 4 | 0 | 0.0% |
August 22, 2023 | 4 | 0 | 0.0% |