Hii ni room ya vijana wa Dar es salaam Institute of Technology (DIT). Heshima, utulivu na kuheshimu hadhira ndiyo vinavyohitajika. Matusi, dharau ama utani kwa wasio watani tuviepuke.