TUIJENGE KAGERA YETU on Clubhouse

TUIJENGE KAGERA YETU Clubhouse
67 Members
Updated: Mar 17, 2024

Description

Hii ni Club House kwa ajili ya kujadili mustakabali wa mkoa wetu wa Kagera pamoja na kujadili fursa mbalimbali kwa maendeleo ya mkoa wetu kwa Ujumla! Karibu Tujadili!
TUHESHIMU MAONI YA KILA MTU: Kila MwanaKagera ana fursa sawa ya kuchangia kwenye hii club bila kujali anatoka wilaya gani! Hakuna aliye juu ya Mwenzie! Asiyeheshimu maoni ya Mwenzie atawajibishwa
UBAGUZI: Lugha ama michango ya kiubaguzi iwe ya kisiasa, dini ama ya kijamii hapa sio mahala pake! Tuheshimu utu na uhuru wa kila mwana Kagera
MATUSI: Lugha za matusi, kashfa na kejeli havina nafasi katika nyumba hii! Tuchangie kwa heshima staa na kuweka mbele misingi ya kuheshimiana bila kujali umri ama cheo cha mtu

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 17, 2024 67 0 0.0%
January 27, 2024 67 0 0.0%
December 13, 2023 67 0 0.0%
November 04, 2023 67 0 0.0%
October 04, 2023 67 0 0.0%
September 05, 2023 67 +1 +1.6%
August 07, 2023 66 +1 +1.6%

Charts

Some Club Members

More Clubs