Fursa Connect on Clubhouse

Fursa Connect Clubhouse
28 Members
Updated: Apr 26, 2024

Description

Karibu Fursa Connect,
Fursa connect inakuunganisha na fursa mbalimbali za ndani na nje ya Nchi kupitia mijadala mbalimbali.

Aidha unaruhusiwa kutoa taarifa za Kifursa zozote ambazo zita mtoa mtu katika hatua moja hadi nyingine.

Taarifa zote zitolewe bila Kukiuka kanuni na taratibu za Nchi ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Charts

Some Club Members

More Clubs