Huu ni ukumbi wa wazi kwa mtu yeyote mwenye akili timamu katika kujadiliana yanayojiri nchini na hatima yake kwa Taifa.
Huu ni ukumbi usioegemea fikra/mawazo fulani, itikadi au mlengo wa kisiasa.
Huu ni ukumbi wenye mijadala yenye staha, utu, haki, udugu na Umoja wa Kitaifa
Malengo makuu ya ukumbi huu ni kuiboresha jamii kifikra ili iweze kupiga hatua binafsi na kitaifa ndani ya umoja wa kitaifa.
Taratibu na Kanuni namba moja: Marufuku kutunga maneno ukijua ni uwongo. Adhabu yake ni kushushwa na kuwa msikilizaji tu katika hoja inayojadiliwa kwa siku hiyo.
Taratibu na kanuni namba mbili: Marufuku kutoa matusi kwa mtu yoyote katika mjadala au nje ya mjadala. Adhabu ya kutoa matusi ni kushushwa au kuondolewa kwenye ukumbi wa majadiliano.
Taratibu na Kanuni namba tatu: Marufuku kutweza utu wa mtu yoyote ndani na nje ya ukumbi. Adhabu yake ni kushushwa au kuondolewa kwenye ukumbi wa majadiliano.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 05, 2024 | 449 | +5 | +1.2% |
March 10, 2024 | 444 | 0 | 0.0% |
January 20, 2024 | 444 | +2 | +0.5% |
December 06, 2023 | 442 | +1 | +0.3% |
October 30, 2023 | 441 | +2 | +0.5% |
September 30, 2023 | 439 | +2 | +0.5% |
August 31, 2023 | 437 | +1 | +0.3% |