Tanzania Medcorps (TMC), kwa ushirikiano na Mental Health Tanzania (MHT) na Paediatric Association of Tanzania (PAT), wanakukaribisha katika uzinduzi wa mradi wa *Vijana Afya ya Akili* ambao utaleta pamoja vijana Tanzania nzima kupitia mitandao ya kijamii kujadili mambo mtambuka na kuleta uelewa zaidi kuhusu afya ya akili na jinsi ya kupambana na tabia hatarishi zinazoleta matatizo ya afya ya akili.
DATE : *27/11/2022*
TIME: saa 10 jioni
VENUE: (Online) twitter, instagram na clubhouse
MADA : Madhara ya bangi katika afya ya akili kwa vijana
Kutana na wabobezi wa maswala ya afya ya akili, elimika, uliza na ujibiwe na pata msaada zaidi juu ya uvutaji wa bangi.
Kwa maelezo zaidi, au jinsi ya kushiriki au kupata huduma, wasiliana nasi kwa email:
*[email protected]*
au
namba ya simu *0742 501 501*
#AfyaYaAkili
#VijanaAfyaYaAkili
#MentalHealth
#MentalHealthTanzania
#YouthMentalHealth
#SDG3.4