SisiTanzania on Clubhouse

SisiTanzania Clubhouse
453 Members
Updated: May 23, 2024

Description

♻️ SisiTanzania ni jukwaa la utekelezaji wa masuala ya vijana katika ngazi ya kata, Wilaya, Mkoa,Taifa na kimataifa;

♻️kuhamasisha kujitolea na kujitegemea miongoni mwa vijana;

♻️kuishauri Serikali kuhusu masuala yanayohusiana na maendeleo ya vijana;

♻️kuwatayarisha vijana kubeba majukumu ili kuwawezesha kuwa na tabia njema, maadili na mienendo mema

♻️kutayarisha mazingira bora kwa ajili ya ushiriki wa vijana katika masuala yanayohusiana na
utoaji wa maamuzi;

♻️kujenga mtandao miongoni mwa vijana na wadau wengine;

♻️kuendeleza umoja miongoni mwa vijana mbali na tofauti zao katika rangi, kabila, siasa, uchumi, dini, utamaduni, jinsia na maeneo wanayotoka.

⏯ Jisajili kwenye mfumo kupitia tovuti ya SisiTanzania, kwa kutembelea tovuti yetu ya www.sisitanzania.org kisha bonyeza kitufe cha JOIN/REGISTER utajaza taarifa zako kisha utabonyeza kitufe kilichoandikwa SUBMIT mpaka hapo utakuwa umejisajili Sisi Tanzania Organization.

Kijana Ongea na Mwenzio

#SisiTanzania
#WeTanzania
Ahsante na Karibu🤝🏽🤝🏽
Kila Space itakuwa na Waongozaji (Moderators): Ukihitaji kuzungumza Chezesha Mic,Nyoosha mkono au omba kuzungumza kisha utaruhusiwa.
Tumia lugha Nzuri: Lugha za matusi,dharau,kebehi au maneno yoyote yaliyo nje ya maadili hayaruhusiwi.

Rules

Kila Space itakuwa na Waongozaji (Moderators)

Ukihitaji kuzungumza Chezesha Mic,Nyoosha mkono au omba kuzungumza kisha utaruhusiwa.

Tumia lugha Nzuri

Lugha za matusi,dharau,kebehi au maneno yoyote yaliyo nje ya maadili hayaruhusiwi.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
May 23, 2024 453 +3 +0.7%
March 03, 2024 450 +2 +0.5%
January 13, 2024 448 +3 +0.7%
November 30, 2023 445 +2 +0.5%
October 25, 2023 443 +3 +0.7%
September 25, 2023 440 +6 +1.4%
August 27, 2023 434 +1 +0.3%
July 24, 2023 433 0 0.0%
June 29, 2023 433 +5 +1.2%
March 26, 2023 428 +1 +0.3%
March 09, 2023 427 +6 +1.5%
January 21, 2023 421 +2 +0.5%
January 14, 2023 419 +2 +0.5%
January 10, 2023 417 -1 -0.3%
January 02, 2023 418 +1 +0.3%
December 30, 2022 417 +1 +0.3%
December 26, 2022 416 +4 +1.0%
December 22, 2022 412 +29 +7.6%
November 21, 2022 383 +1 +0.3%
October 27, 2022 382 +1 +0.3%
October 13, 2022 381 +1 +0.3%
October 07, 2022 380 -1 -0.3%
September 22, 2022 381 +1 +0.3%
September 09, 2022 380 -1 -0.3%
August 30, 2022 381 +1 +0.3%
August 17, 2022 380 +1 +0.3%
August 11, 2022 379 +3 +0.8%
August 04, 2022 376 +1 +0.3%
July 29, 2022 375 +2 +0.6%
July 22, 2022 373 +1 +0.3%

Charts

Some Club Members

More Clubs