Billionaires Club Tz on Clubhouse

Billionaires Club Tz Clubhouse
33 Members
Updated: Mar 10, 2024

Description

Mahali ambapo Mabilionea wajao wanakutana na kujadili mambo makubwa na ya kina kuhusu safari ya kuelekea kwenye ubilionea.
Mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA. : Kwa kujiunga na Klabu hii nakiri mimi ni mwanachama hai wa KISIMA CHA MAARIFA na nitaendelea kuwa mwanachama.
Nitakuwa Bilionea.: Kwa kujiunga na Klabu hii naahidi kupambana mpaka kufikia ubilionea, sitokata tamaa wala kurudi nyuma. Nitakuwa bilionea au nitakufa nikipambana kufikia ubilionea.
Ushirikiano na wengine.: Kwa kujiunga na klabu hii naahidi nitakuwa na ushirikiano mzuri na wengine. Naahidi kuwa mwaminifu na kuweka maslahi ya wengine mbele na siyo maslahi yangu pekee.

Rules

Mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA.

Kwa kujiunga na Klabu hii nakiri mimi ni mwanachama hai wa KISIMA CHA MAARIFA na nitaendelea kuwa mwanachama.

Nitakuwa Bilionea.

Kwa kujiunga na Klabu hii naahidi kupambana mpaka kufikia ubilionea, sitokata tamaa wala kurudi nyuma. Nitakuwa bilionea au nitakufa nikipambana kufikia ubilionea.

Ushirikiano na wengine.

Kwa kujiunga na klabu hii naahidi nitakuwa na ushirikiano mzuri na wengine. Naahidi kuwa mwaminifu na kuweka maslahi ya wengine mbele na siyo maslahi yangu pekee.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 10, 2024 33 0 0.0%
January 19, 2024 33 0 0.0%
December 06, 2023 33 0 0.0%
October 30, 2023 33 0 0.0%
September 29, 2023 33 0 0.0%
August 31, 2023 33 0 0.0%
August 03, 2023 33 0 0.0%
July 02, 2023 33 0 0.0%
April 06, 2023 33 0 0.0%
March 12, 2023 33 0 0.0%
March 17, 2022 33 +1 +3.2%

Charts

Some Club Members

More Clubs