TZ Environmentalists on Clubhouse

TZ Environmentalists Clubhouse
817 Members
Updated: Mar 16, 2023

Description

Habari zenu wapenzi wa mazingira 👋🏽,
‘Tanzanian Environmentalists’ club, ni jukwaa la wale wote wanaopendekezwa na uhifadhi wa mazingira yao kwa njia tofauti 🌱 🌍.

✨ ✨✨

Kama wewe ni mpenzi na mtetezi wa mazingira, na unataka kujua njia tofauti za kuweza kufikisha lengo hili basi platform hii ni yako📍

Hapa tutapata nafasi ya kuongelea njia tofauti za kupunguza athari zetu kwa mazingira, tutapata kujadiliana na kusoma kwa wenzetu, njia tofauti tunazoweza kutumia ili kupunguza taka zetu, kurudia kutumia vitu kila tunapoweza na kutengeneza vitu vyengine kutokana na taka zetu ♻️

Madhumuni ya mazungumzo yetu ni kuhamasisha na kujielemisha namna tofauti tunavoweza kuishi maisha yasiyo na athari kwa mazingira yetu 💚

Karibu tuonge 💬 💡 ♻️

💫💫💫

Hey Eco-Beings, ‘Tanzanian Environmentalists’ club is a space dedicated to exchange ideas on environmentally friendly habits, find better ways to reduce our waste, reuse what we can and recycle wherever and whenever possible ♻️

This is T H E space for you if:
⭐️ You want to find better ways to live a more sustainable and CONSCIOUS life 💚
⭐️ You are looking to network with people who share the same eco-interests 💬
⭐️ You want to hear what is happening in the environmental-protection/awareness scene in Tanzania 🇹🇿 and the world 🌍
⭐️ You are looking to start an environmentally-friendly project but not sure how to, you have a space with your name on it here 📍

We look forward to chatting and learning more from one another.
🍀🍀🍀

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 16, 2023 817 +9 +1.2%
February 03, 2023 808 +1 +0.2%
January 31, 2023 807 +1 +0.2%
January 12, 2023 806 +1 +0.2%
January 04, 2023 805 +1 +0.2%
December 24, 2022 804 +5 +0.7%
November 30, 2022 799 +3 +0.4%
November 24, 2022 796 +1 +0.2%
November 18, 2022 795 +2 +0.3%
November 11, 2022 793 -1 -0.2%
November 05, 2022 794 +3 +0.4%
October 23, 2022 791 +2 +0.3%
October 16, 2022 789 +2 +0.3%
October 10, 2022 787 +1 +0.2%
September 25, 2022 786 +1 +0.2%
September 18, 2022 785 -1 -0.2%
September 12, 2022 786 +3 +0.4%
August 26, 2022 783 +2 +0.3%
August 20, 2022 781 +2 +0.3%
August 13, 2022 779 -1 -0.2%
August 07, 2022 780 +2 +0.3%
July 25, 2022 778 +1 +0.2%
July 18, 2022 777 +2 +0.3%
July 12, 2022 775 +2 +0.3%
June 29, 2022 773 +3 +0.4%
June 16, 2022 770 +4 +0.6%
June 09, 2022 766 +7 +1.0%
June 03, 2022 759 +4 +0.6%
May 27, 2022 755 +2 +0.3%
May 20, 2022 753 +2 +0.3%

Charts

Some Club Members

More Clubs