Vijana: Mrengo Chanya on Clubhouse

Vijana: Mrengo Chanya Clubhouse
1.1k Members
Updated: Aug 7, 2022

Description

Vijana Mrengo Chanya Club! Karibu sana katika club hii ambayo inamzungumzia katika fikra na mtazamo chanya. Tunamtua kijana mzigo wa lawama, tunafikiri kama generation na tunasonga pamoja! Follow Twitter @MrengoChanya

Ni kila siku kuanzia saa 1 jioni hadi saa 3 kamili.

Karibu!

Rules

This is for us!

Kila mmoja ana fursa na nafasi sawa ya kuchangia. Maoni ya kila mmoja yanaheshimiwa.

We love positivity!

Sisi tumechagua mrengo chanya, tunajadili changamoto za vijana na kuzigeuza fursa, hatulaumu, tunatatua. Mshiriki unahimizwa kuzingatia hili

Hatupoi, hatuboi!

Tuna madini na michongo ya kutosha. Hatupoi, tunaamsha amsha yaani bandika bandua. Mada hazikauki kijiweni hadi humu chumbani.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 18, 2022 1,100 +100 +10.0%
March 11, 2022 1,000 +122 +13.9%
November 23, 2021 878 +1 +0.2%
November 21, 2021 877 +3 +0.4%
November 20, 2021 874 +5 +0.6%
November 18, 2021 869 +4 +0.5%
November 15, 2021 865 +8 +1.0%
November 10, 2021 857 +2 +0.3%
November 07, 2021 855 +5 +0.6%
November 06, 2021 850 +3 +0.4%
November 03, 2021 847 +8 +1.0%
November 01, 2021 839 +1 +0.2%
October 31, 2021 838 +2 +0.3%
October 30, 2021 836 +4 +0.5%
October 29, 2021 832 +6 +0.8%
October 28, 2021 826 +288 +53.6%
August 25, 2021 538 +1 +0.2%
August 24, 2021 537 +1 +0.2%

Charts

Some Club Members

More Clubs