Elimu Tanzania (ETA),
Ni tanuru (forum) la kujadili maswala mbalimbali ya elimu na mitaala ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania.
Pia kujadiana mifumo mbalimbali ya elimu katika nchi yetu na nchi nyingine duniani.
👉 Tutajadili namna mifumo ya elimu mbalimbali inavyoweza kumkomboa mwananchi katika maswala ya ajira
👉 Tutajadili ni namna gani au marekebisho gani yanahitajika katika mfumo wetu wa elim ili uweze kumsaidia msomaji
👉 Dhumuni la forum hii ni kuleta mchango chanya kwa nchi yetu hasa kwenye sekta ya elim.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 13, 2024 | 46 | +1 | +2.3% |
March 14, 2024 | 45 | 0 | 0.0% |
January 24, 2024 | 45 | 0 | 0.0% |
December 10, 2023 | 45 | 0 | 0.0% |
November 02, 2023 | 45 | 0 | 0.0% |
October 02, 2023 | 45 | 0 | 0.0% |
September 03, 2023 | 45 | 0 | 0.0% |
August 05, 2023 | 45 | 0 | 0.0% |