Sports - Riadha Tanzania. on Clubhouse

Sports - Riadha Tanzania. Clubhouse
42 Members
Updated: Mar 13, 2024

Description

Mapinduzi ya Riadha Tanzania, ni Sehemu ya Kujadili , Kujifunza na Kuelimika masuala ya Riadha.

Tunazungumza Mafanikio na Changamoto za Riadha Tanzania.

Tunafanya Mapinduzi ya Medali Nyingi Zaidi kwenye Riadha.
Tumia Lugha Yenye Uweledi: Tumia Lugha isiyochafua hali ya hewa, lugha isiyoumiza hisia za mjumbe au wajumbe. Tumia lugha isiyovunja Sheria na Kanuni za Riadha na nchi ya Tanzania.
Tujadili Kwa Ufasaha: Tujadili Riadha kwa mifano iliyohai, tujadili hoja kwa hoja ili kila mtu aweze kufahamu Mchezo wa Riadha kwa undani zaidi.
Elimu ya Riadha: Tutoe Elimu ya Riadha Tanzania na Kimataifa bila Kuchafua Hali ya Hewa, Lazima tuwe na uhakika na Elimu tunayotoa.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 13, 2024 42 0 0.0%
January 23, 2024 42 0 0.0%
December 09, 2023 42 0 0.0%
November 01, 2023 42 -1 -2.4%
October 01, 2023 43 0 0.0%
September 02, 2023 43 0 0.0%
August 04, 2023 43 0 0.0%
July 04, 2023 43 +2 +4.9%
April 08, 2023 41 0 0.0%
March 13, 2023 41 0 0.0%
January 07, 2023 41 +2 +5.2%
January 03, 2023 39 +1 +2.7%
December 23, 2022 38 +2 +5.6%
October 22, 2022 36 +1 +2.9%
July 24, 2022 35 +1 +3.0%
July 17, 2022 34 +1 +3.1%
July 04, 2022 33 +2 +6.5%
April 22, 2022 31 +2 +6.9%
April 01, 2022 29 +1 +3.6%
March 09, 2022 28 +3 +12.0%
November 18, 2021 25 +3 +13.7%

Charts

Some Club Members

More Clubs